Hesabu 26:18 - Swahili Revised Union Version18 Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arubaini na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hizo ndizo koo za kabila la Gadi, jumla wanaume 40,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hizo zilikuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arobaini na mia tano. Tazama sura |