Hesabu 26:19 - Swahili Revised Union Version19 Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kabila la Yuda lilikuwa na wanawe wa Yuda Eri na Onani. Hawa walifia nchini Kanaani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani. Tazama sura |