Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 2:15 - Swahili Revised Union Version

15 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 45,650.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 45,650.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 45,650.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kundi lake lina watu elfu arobaini na tano mia sita na hamsini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kundi lake lina watu 45,650.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arobaini na tano, mia sita na hamsini.

Tazama sura Nakili




Hesabu 2:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini (45,650).


na kabila la Gadi; na mkuu wa wana wa Gadi atakuwa Eliasafu mwana wa Deueli;


Wote waliohesabiwa katika kambi za Reubeni walikuwa elfu mia moja hamsini na moja na mia nne na hamsini, kwa majeshi yao. Nao ndio watakaofuata wakiwa kundi la pili.


Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arubaini na mia tano.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo