Hesabu 1:25 - Swahili Revised Union Version25 wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini (45,650). Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 walikuwa watu 45,650. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 walikuwa watu 45,650. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 walikuwa watu 45,650. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu elfu arobaini na tano, mia sita na hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arobaini na tano, mia sita na hamsini (45,650). Tazama sura |