Ndipo Sulemani akawahesabu wageni wote waliokuwamo katika nchi ya Israeli, kulingana na hesabu aliyoifanya Daudi baba yake; wakatokea elfu mia moja hamsini na tatu, na mia sita.
Hesabu 1:19 - Swahili Revised Union Version Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Biblia Habari Njema - BHND kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Neno: Bibilia Takatifu kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: Neno: Maandiko Matakatifu kama bwana alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: BIBLIA KISWAHILI Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai. |
Ndipo Sulemani akawahesabu wageni wote waliokuwamo katika nchi ya Israeli, kulingana na hesabu aliyoifanya Daudi baba yake; wakatokea elfu mia moja hamsini na tatu, na mia sita.
hapo walipoingia hema ya kukutania, na hapo walipoikaribia madhabahu walinawa kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Fanyeni hesabu ya watu wote wa Israeli, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina ilivyo, kila mwanamume mmoja mmoja;
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya.
Hivyo ndivyo walivyofanya wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwamuru Musa; ndivyo walivyojipanga kufuata bendera zao, na ndivyo walivyosafiri, kila mtu kwa jamaa zao, kwa nyumba za baba zao.
Hao ndio waliohesabiwa na Musa na Eleazari kuhani; ambao waliwahesabu wana wa Israeli katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko.
kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.