Hesabu 1:19 - Swahili Revised Union Version19 Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose akawahesabu watu hawa kule jangwani Sinai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 kama bwana alivyomwagiza Musa. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai. Tazama sura |