Hesabu 1:10 - Swahili Revised Union Version Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri; Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri; Neno: Bibilia Takatifu kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; BIBLIA KISWAHILI Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri. |
Upande wa magharibi kutakuwa na bendera ya kambi ya Efraimu kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Efraimu atakuwa Elishama mwana wa Amihudi.
Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;