Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 1:10 - Swahili Revised Union Version

10 Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kabila la Efraimu: Elishama mwana wa Amihudi; Kabila la Manase: Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 kutoka wana wa Yusufu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tazama sura Nakili

Hesabu 1:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wa Benyamini Abidani mwana wa Gideoni.

Wa Zabuloni; Eliabu mwana wa Heloni.

Upande wa magharibi kutakuwa na bendera ya kambi ya Efraimu kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Efraimu atakuwa Elishama mwana wa Amihudi.

Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Siku ya saba Elishama mwana wa Amihudi, mkuu wa wana wa Efraimu;

Siku ya nane Gamalieli mwana wa Pedasuri, mkuu wa wana wa Manase;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo