Ezra 8:8 - Swahili Revised Union Version Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Biblia Habari Njema - BHND Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Neno: Bibilia Takatifu wa wazao wa Shefatia, alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli na wanaume themanini; Neno: Maandiko Matakatifu wa wazao wa Shefatia, alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli na wanaume 80 pamoja naye; BIBLIA KISWAHILI Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini. |
Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane.
Tena wakakaa Yerusalemu wengine wa wana wa Yuda, na wengine wa wana wa Benyamini. Wa wana wa Yuda; Athaya, mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, wa wana wa Peresi;