Ezra 8:8 - Swahili Revised Union Version8 Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Zebadia, mwana wa Mikaeli, wa ukoo wa Shefatia, pamoja na wanaume 80. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 wa wazao wa Shefatia, alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli na wanaume themanini; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 wa wazao wa Shefatia, alikuwa Zebadia mwana wa Mikaeli na wanaume 80 pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Na wa wana wa Shefatia, Zebadia, mwana wa Mikaeli; na pamoja naye wanaume themanini. Tazama sura |