Ezra 8:9 - Swahili Revised Union Version9 Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Obadia, mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Yoabu, pamoja na wanaume 218. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume mia mbili kumi na nane; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Wa wana wa Yoabu, Obadia, mwana wa Yehieli; na pamoja naye wanaume mia mbili na kumi na wanane. Tazama sura |