Danieli 2:36 - Swahili Revised Union Version Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Biblia Habari Njema - BHND “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Neno: Bibilia Takatifu “Hii ndio ilikuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme. Neno: Maandiko Matakatifu “Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme. Swahili Roehl Bible 1937 Hii ndiyo ndoto, sasa tumwambie mfalme nayo maana yake: |
Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa la kutisha.