Danieli 2:36 - Swahili Revised Union Version36 Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 “Hiyo ndiyo ndoto yako, ee mfalme. Na sasa tutakupa maana yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 “Hii ndio ilikuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 “Hii ndiyo iliyokuwa ndoto, nasi sasa tutamfasiria mfalme. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193736 Hii ndiyo ndoto, sasa tumwambie mfalme nayo maana yake: Tazama sura |