Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 40:12 - Swahili Revised Union Version

12 Yusufu akamwambia, Tafsiri yake ndiyo hii. Matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Yale matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Yale matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: yale matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Yusufu akamwambia, Tafsiri yake ndiyo hii. Matawi matatu ni siku tatu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 40:12
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na kikombe cha Farao kilikuwa mkononi mwangu, nikazitwaa zabibu, nikazikamua katika kikombe cha Farao, nikampa Farao kikombe mkononi mwake.


Baada ya siku tatu Farao atakiinua kichwa chako, atakurudisha katika kazi yako; nawe utampa Farao kikombe mkononi mwake, kama desturi ya kwanza, ulipokuwa mnyweshaji wake.


Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu.


Na huko pamoja nasi palikuwa na kijana; Mwebrania, mtumishi wa mkuu wa askari, tukamhadithia, naye akatufasiria ndoto zetu; akamfasiria kila mtu kama ilivyokuwa ndoto yake.


Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonesha Farao atakayoyafanya hivi karibu.


Mimi, Nebukadneza, nimeiona ndoto hii; na wewe, Ee Belteshaza, eleza tafsiri yake, kwa maana wenye hekima wote wa ufalme wangu hawawezi kunijulisha tafsiri yake; bali wewe waweza, maana roho ya miungu watakatifu inakaa ndani yako.


Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu


wote wakanywa kinywaji kile kile cha roho; kwa maana waliunywea mwamba wa roho uliowafuata; na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.


Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa yuko utumwani pamoja na watoto wake.


Mwenzake akamjibu akasema, Habari hii haikosi kuwa upanga wa Gideoni, mwana wa Yoashi, mtu wa Israeli. Mungu amewatia Wamidiani na jeshi lote katika mkono wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo