Mwanzo 40:18 - Swahili Revised Union Version18 Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Zile nyungo tatu ni siku tatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Zile nyungo tatu ni siku tatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: zile nyungo tatu ni siku tatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu. Tazama sura |