Ikawa baada ya hayo, kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, aliyekuwa mmoja wa Warefai.
2 Samueli 23:27 - Swahili Revised Union Version na Abiezeri, Mwanathothi, na Sibekai, Mhushathi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abiezeri, Mwanathothi; Mebunai, Mhushathi; Biblia Habari Njema - BHND Abiezeri, Mwanathothi; Mebunai, Mhushathi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abiezeri, Mwanathothi; Mebunai, Mhushathi; Neno: Bibilia Takatifu Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai Mhushathi; Neno: Maandiko Matakatifu Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai, Mhushathi; BIBLIA KISWAHILI na Abiezeri, Mwanathothi, na Sibekai, Mhushathi; |
Ikawa baada ya hayo, kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, aliyekuwa mmoja wa Warefai.
akasema, Mungu wangu apishe mbali, nisifanye hivi; je! Ninywe damu ya watu hao waliohatarisha nafsi zao? Maana kwa hatari ya nafsi zao wameyaleta. Kwa hiyo hakukubali kuyanywa. Hayo ndiyo waliyoyafanya wale mashujaa watatu.
Kamanda wa tisa wa mwezi wa tisa alikuwa Abiezeri, Mwanathothi, wa Wabenyamini; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
na Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Almoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.