2 Samueli 22:12 - Swahili Revised Union Version Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Biblia Habari Njema - BHND Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Neno: Bibilia Takatifu Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani. Neno: Maandiko Matakatifu Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani. BIBLIA KISWAHILI Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni. |
Ikawa, Ben-hadadi alipolisikia neno hilo, naye alikuwa akinywa, yeye na wafalme, mabandani, aliwaambia watumwa wake, Jipangeni. Wakajipanga juu ya mji.
Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.