2 Samueli 22:11 - Swahili Revised Union Version11 Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Alipanda kiumbe chenye mabawa na kuruka, alionekana juu ya mabawa ya upepo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mabawa ya upepo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Akapanda juu ya kerubi akaruka; Naam, alionekana juu ya mabawa ya upepo. Tazama sura |