2 Samueli 22:12 - Swahili Revised Union Version12 Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Alijizungushia giza pande zote, kifuniko chake kilikuwa mawingu mazito na mkusanyiko wa maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akafanya giza hema zake za kumzunguka, Makusanyiko ya maji, mawingu makuu ya mbinguni. Tazama sura |