2 Samueli 22:13 - Swahili Revised Union Version13 Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mwanga wa radi ukatoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa. Tazama sura |