Zaburi 27:5 - Swahili Revised Union Version5 Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Siku ya taabu atanificha bandani mwake; atanificha katika hema lake, na kunisalimisha juu ya mwamba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema lake, na kuniweka juu kwenye mwamba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema yake na kuniweka juu kwenye mwamba. Tazama sura |