Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.
1 Wafalme 1:22 - Swahili Revised Union Version Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Biblia Habari Njema - BHND Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Neno: Bibilia Takatifu Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika. Neno: Maandiko Matakatifu Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika. BIBLIA KISWAHILI Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia. |
Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.
mfalme akamwambia Nathani, nabii, Angalia sasa, mimi ninakaa katika nyumba ya mierezi, bali sanduku la Mungu linakaa ndani ya mapazia.
Ama sivyo itakuwa, bwana wangu mfalme atakapolala pamoja na baba zake, mimi na mwanangu Sulemani tutahesabiwa kuwa wahalifu.
Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.
Basi hapo nilipokuwa nikisema, na kuomba, na kuiungama dhambi yangu, na dhambi ya watu wangu Israeli, na kuomba dua yangu mbele za BWANA, Mungu wangu, kwa ajili ya mlima mtakatifu wa Mungu wangu;