Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 1:23 - Swahili Revised Union Version

23 Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Nao watu wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Naye alipomfikia mfalme, alimwinamia mfalme mpaka uso ukafika chini udongoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Kisha akaenda mbele ya mfalme na kumsujudia hadi uso wake ukagusa chini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakamwambia mfalme, “Nabii Nathani yuko hapa.” Kisha akaenda mbele ya mfalme na kumsujudia hadi uso wake ukagusa ardhi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Wakamwambia mfalme wakasema, Tazama, Nathani, nabii. Naye alipoingia ndani mbele ya mfalme, akamsujudia kifudifudi.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 1:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bathsheba akainama, akamsujudia mfalme. Naye mfalme akamwuliza, Wataka nini?

Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia.

Nathani akasema, Ee mfalme, bwana wangu, je! Wewe umesema ya kwamba, Adonia atamiliki baada yangu, ndiye atakayeketi katika kiti changu cha enzi?

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.

Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.

Basi mara alipokuwa amekwisha ondoka yule mtoto, mara Daudi akatoka mahali pale karibu na kile kichuguu, akaanguka kifudifudi, akajiinama mara tatu; nao wakabusiana, wakaliliana, hata Daudi akazidi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo