akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
1 Timotheo 6:7 - Swahili Revised Union Version Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Biblia Habari Njema - BHND Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; |
akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.