Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu.
1 Samueli 13:23 - Swahili Revised Union Version Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mpito ya Mikmashi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Biblia Habari Njema - BHND Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Neno: Bibilia Takatifu Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi. Neno: Maandiko Matakatifu Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi. BIBLIA KISWAHILI Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi. |
Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu.
wamevuka kivuko; wamekwenda kulala katika Geba; Rama unatetemeka; Gibea wa Sauli umekimbia.
Nao Wafilisti wakakusanyika ili wapigane na Waisraeli, magari elfu thelathini, na wapanda farasi elfu sita, na watu kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi wao; wakapanda juu, wakapiga kambi yao katika Mikmashi, upande wa mashariki wa Beth-aveni.
Basi ikatukia siku moja, ya kwamba Yonathani, mwana wa Sauli, akamwambia yule kijana aliyembebea silaha zake, Haya! Na tuvuke twende kwa Wafilisti ngomeni, pale ng'ambo ya pili. Lakini hakumwarifu babaye.