1 Samueli 13:23 - Swahili Revised Union Version23 Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mpito ya Mikmashi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi. Tazama sura |