2 Samueli 23:14 - Swahili Revised Union Version14 Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Naye Daudi wakati huo alikuwa katika ngome, nalo jeshi la Wafilisti lilikuwa mjini Bethlehemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Naye Daudi wakati ule alikuwako ngomeni, na jeshi la Wafilisti wakati ule walikuwako Bethlehemu. Tazama sura |