Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
1 Samueli 1:14 - Swahili Revised Union Version Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hadi lini? Achilia mbali divai yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Neno: Bibilia Takatifu naye akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achilia mbali mvinyo wako.” Neno: Maandiko Matakatifu naye akamwambia, “Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo wako.” BIBLIA KISWAHILI Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hadi lini? Achilia mbali divai yako. |
Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?
Hadi lini mtamshambulia mtu, Mpate kumwua ninyi nyote pamoja? Kama ukuta unaoinama, Kama ua ulio tayari kuanguka,
Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake.
Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matusi yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya;