1 Samueli 1:14 - Swahili Revised Union Version14 Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hadi lini? Achilia mbali divai yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 naye akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achilia mbali mvinyo wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 naye akamwambia, “Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo wako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hadi lini? Achilia mbali divai yako. Tazama sura |