Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Nehemia 7:61 - Swahili Revised Union Version

61 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

61 Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: Wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

61 Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: Wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

61 Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

61 Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

61-62 Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

61 Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Tazama sura Nakili

Nehemia 7:61
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha koo za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;

Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arubaini na wawili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo