Nehemia 7:62 - Swahili Revised Union Version62 Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arubaini na wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: Watu 642. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 wazawa wa Delaya, Tobia na wa Nekoda; jumla: watu 642. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita arobaini na wawili (642). Tazama suraBIBLIA KISWAHILI62 Wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita na arobaini na wawili. Tazama sura |