Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Nehemia 7:60 - Swahili Revised Union Version

60 Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

60 Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

60 Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

60 Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

60 Watumishi wa Hekalu, na wazao wa watumishi wa Sulemani, mia tatu tisini na wawili (392).

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

60 Wanethini wote, pamoja na wana wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.

Tazama sura Nakili




Nehemia 7:60
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wenyeji wa kwanza waliokaa katika miliki yao katika miji yao walikuwa Israeli, na makuhani, na Walawi, na Wanethini.


Wanethini wote, pamoja na wazawa wa watumishi wa Sulemani, walikuwa mia tatu tisini na wawili.


wana wa Shefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokereth-Sebaimu, wana wa Amoni.


Na hawa ndio watu waliokwea kutoka Tel-mela, na Tel-harsha, na Kerubu, na Adani, na Imeri; lakini hawakuweza kuonesha mbari za baba zao, wala kizazi chao, kwamba walikuwa wa Israeli;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo