Mwanzo 5:25 - Swahili Revised Union Version25 Methusela akaishi miaka mia moja na themanini na saba, akamzaa Lameki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Wakati Methusela alipokuwa na umri wa miaka 187, alimzaa Lameki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Methusela alipokuwa ameishi miaka mia moja na themanini na saba (187), akamzaa Lameki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Methusela akaishi miaka mia moja na themanini na saba, akamzaa Lameki. Tazama sura |