Mwanzo 42:11 - Swahili Revised Union Version11 Sisi sote ni wana wa mtu mmoja tu watu wa kweli sisi; watumwa wako si wapelelezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Sisi ni ndugu, wana wa baba mmoja. Sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Watumishi wako ni watu waaminifu, wala sio wapelelezi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Sisi sote ni wana wa mtu mmoja tu watu wa kweli sisi; watumwa wako si wapelelezi. Tazama sura |