Mwanzo 42:12 - Swahili Revised Union Version12 Akawaambia, Sivyo, mmekuja ili mwuone utupu wa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini Yosefu akasisitiza, “Sivyo! Mmekuja hapa ili kupeleleza udhaifu wa nchi yetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Akawaambia, “La, hasha! Mmekuja kuangalia mahali nchi yetu haina ulinzi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Akawaambia, “La hasha! Mmekuja kuangalia mahali ambapo nchi yetu haina ulinzi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Akawaambia, Sivyo, mmekuja ili mwuone utupu wa nchi. Tazama sura |