Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:20 - Swahili Revised Union Version

20 Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, akafanya haraka, akawamiminia ngamia maji ya mtungi wake katika hori, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na kuwanywesha ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine, na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia wake wote.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hata alipokwisha kumnywesha akasema, Na ngamia wako nitawatekea, hadi watakapokwisha kunywa.

Basi yule mtu akamkazia macho, akanyamaza, ili ajue kama BWANA ameifanikisha safari yake ama sivyo.

Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba zangu, Abrahamu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo