Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:19 - Swahili Revised Union Version

19 Hata alipokwisha kumnywesha akasema, Na ngamia wako nitawatekea, hadi watakapokwisha kunywa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Alipokwisha kumpatia maji, akamwambia, “Nitawatekea maji ngamia wako pia, wanywe mpaka watosheke.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Alipokwisha kumpatia maji, akamwambia, “Nitawatekea maji ngamia wako pia, wanywe mpaka watosheke.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Alipokwisha kumpatia maji, akamwambia, “Nitawatekea maji ngamia wako pia, wanywe mpaka watosheke.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Baada ya kumpa yule mtumishi yale maji, akamwambia, “Nitawatekea ngamia wako maji pia hadi wote watosheke.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Baada ya kumpa yule mtumishi yale maji, akamwambia, “Nitateka maji kwa ajili ya ngamia zako pia mpaka wote watosheke.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Hata alipokwisha kumnywesha akasema, Na ngamia wako nitawatekea, hadi watakapokwisha kunywa.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:19
4 Marejeleo ya Msalaba  

basi na iwe hivi; yule msichana nitakayemwambia, Tua mtungi wako, nakuomba, ninywe; naye akasema, Unywe, nami nitawanywesha na ngamia zako pia; basi huyu na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka; na kwa hayo nitajua ya kuwa umemfadhili bwana wangu.

Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia wake wote.

Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung'unika;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo