Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:21 - Swahili Revised Union Version

21 Basi yule mtu akamkazia macho, akanyamaza, ili ajue kama BWANA ameifanikisha safari yake ama sivyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Yule mtu akawa anamtazama kwa makini bila kusema lolote, apate kufahamu kama Mwenyezi-Mungu ameifanikisha safari yake au sivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Yule mtu akawa anamtazama kwa makini bila kusema lolote, apate kufahamu kama Mwenyezi-Mungu ameifanikisha safari yake au sivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Yule mtu akawa anamtazama kwa makini bila kusema lolote, apate kufahamu kama Mwenyezi-Mungu ameifanikisha safari yake au sivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Pasipo kusema neno, yule mtumishi akamtazama kwa makini aone kama Mwenyezi Mungu ameifanikisha safari yake, au la.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Pasipo kusema neno, yule mtumishi akamtazama kwa makini aone kama bwana ameifanikisha safari yake, au la.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Basi yule mtu akamkazia macho, akanyamaza, ili ajue kama BWANA ameifanikisha safari yake ama sivyo.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:21
13 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Abrahamu.

Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia wake wote.

Akasema, Na atukuzwe BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuacha rehema zake na kweli yake kwa bwana wangu. BWANA akaniongoza mimi nami njiani hata nyumba ya nduguze bwana wangu.

Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.

Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.

Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.

Aliye na hekima na ayaangalie hayo; Na wazitafakari fadhili za BWANA.

Na wamshukuru BWANA, kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu.

Lakini Mariamu akayaweka maneno hayo yote, akiyafikiri moyoni mwake.

Akashuka pamoja nao mpaka Nazareti, naye alikuwa akiwatii; na mamaye aliyaweka hayo yote moyoni mwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo