Mwanzo 18:3 - Swahili Revised Union Version3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Bwana zangu, kama mnanipenda tafadhali msinipite mimi mtumishi wenu ila mshinde kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Bwana zangu, kama mnanipenda tafadhali msinipite mimi mtumishi wenu ila mshinde kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Bwana zangu, kama mnanipenda tafadhali msinipite mimi mtumishi wenu ila mshinde kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ibrahimu akasema, “Bwana wangu, ikiwa nimepata kibali machoni mwako, usimpite mtumishi wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Akasema, “Kama nimepata kibali machoni penu, ee bwana wangu, usimpite mtumishi wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako. Tazama sura |