Mwanzo 18:4 - Swahili Revised Union Version4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtaletewa maji kidogo ili mnawe miguu na kupumzika chini ya mti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtaletewa maji kidogo ili mnawe miguu na kupumzika chini ya mti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtaletewa maji kidogo ili mnawe miguu na kupumzika chini ya mti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Acha yaletwe maji kidogo, nanyi mnawe miguu yenu, na mpumzike chini ya mti huu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Acha yaletwe maji kidogo, kisha ninyi nyote mnawe miguu yenu na mpumzike chini ya mti huu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu. Tazama sura |