Methali 27:20 - Swahili Revised Union Version20 Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kuzimu na Uharibifu havishibi, wala macho ya mwanadamu hayashibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kuzimu na Uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi. Tazama sura |