Methali 27:21 - Swahili Revised Union Version21 Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kalibu husafisha fedha na tanuru husafisha dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa anazopewa na watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake. Tazama sura |