Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 27:19 - Swahili Revised Union Version

19 Kama uso ufananavyo na uso katika maji; Kadhalika moyo wa mtu na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Kama uso ujionavyo wenyewe majini, ndivyo ujijuavyo mwenyewe moyoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Kama uso ujionavyo wenyewe majini, ndivyo ujijuavyo mwenyewe moyoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Kama uso ujionavyo wenyewe majini, ndivyo ujijuavyo mwenyewe moyoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kama uso uonekanavyo kwenye maji, ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonesha alivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kama uso uonekanavyo kwenye maji, ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonyesha alivyo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Kama uso ufananavyo na uso katika maji; Kadhalika moyo wa mtu na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Methali 27:19
6 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote.

Yeye aiumbaye mioyo yao wote Na kuziona kazi zao zote.

Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa.

Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi.

Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo