Methali 18:24 - Swahili Revised Union Version24 Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Marafiki wengi waweza kumwangusha mtu, lakini wapo marafiki waaminifu kuliko ndugu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Marafiki wengi waweza kumwangusha mtu, lakini wapo marafiki waaminifu kuliko ndugu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Marafiki wengi waweza kumwangusha mtu, lakini wapo marafiki waaminifu kuliko ndugu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Mtu aliye na rafiki wasioaminika huangamia upesi, bali yuko rafiki anayeambatana na mtu kwa karibu kuliko ndugu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu. Tazama sura |