Methali 19:1 - Swahili Revised Union Version1 Afadhali maskini aendaye katika uadilifu wake, Kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko mtu mpotovu wa maneno na mpumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Afadhali maskini aendaye katika uadilifu wake, Kuliko mpotovu wa midomo aliye mpumbavu. Tazama sura |