Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 15:29 - Swahili Revised Union Version

29 BWANA yuko mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Mwenyezi Mungu yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 bwana yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 BWANA yuko mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.

Tazama sura Nakili




Methali 15:29
19 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika Mungu hatasikia ubatili, Wala Mwenyezi hatauangalia.


Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani unajificha nyakati za shida?


Ingawa BWANA yuko juu, anamjali mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.


Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita BWANA lakini hakuwajibu,


Maana wajitengao nawe watapotea; Umewaangamiza wote waliokuacha Wewe.


Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.


Mng'ao wa macho huufurahisha moyo; Habari njema huinenepesha mifupa.


Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.


lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.


Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele.


Tunajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo.


Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana uko juu ya watenda mabaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo