Methali 15:28 - Swahili Revised Union Version28 Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Moyo wa mwadilifu hufikiri kabla ya kujibu, lakini kinywa cha mwovu hububujika uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Moyo wa mwadilifu hufikiri kabla ya kujibu, lakini kinywa cha mwovu hububujika uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Moyo wa mwadilifu hufikiri kabla ya kujibu, lakini kinywa cha mwovu hububujika uovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake, bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya. Tazama sura |