Methali 12:20 - Swahili Revised Union Version20 Hila imo mioyoni mwao wafikirio uovu; Bali wafanyao mashauri ya amani, kwao kuna furaha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Wanaopanga maovu wamejaa udanganyifu moyoni, lakini wanaonuia mema hupata furaha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Wanaopanga maovu wamejaa udanganyifu moyoni, lakini wanaonuia mema hupata furaha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Wanaopanga maovu wamejaa udanganyifu moyoni, lakini wanaonuia mema hupata furaha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Hila imo mioyoni mwao wafikirio uovu; Bali wafanyao mashauri ya amani, kwao kuna furaha. Tazama sura |