Mathayo 14:11 - Swahili Revised Union Version11 Kichwa chake kikaletwa katika kombe, akapewa yule msichana; akakileta kwa mamaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kichwa chake kikaletwa katika kombe, akapewa yule msichana; akakileta kwa mamaye. Tazama sura |