Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 14:12 - Swahili Revised Union Version

12 Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wanafunzi wa Yahya wakaja na kuuchukua mwili wake, wakamzika. Kisha wakaenda wakamwambia Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wanafunzi wa Yahya wakaja na kuuchukua mwili wake kwenda kuuzika. Kisha wakaenda wakamwambia Isa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kichwa chake kikaletwa katika kombe, akapewa yule msichana; akakileta kwa mamaye.

Naye Yesu aliposikia hayo, aliondoka huko katika mashua, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao.

Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini.

Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo